Kinshasa : Vital Kamerhe asimamiya kikao kipya cha bunge la taïfa wakati wanabunge kadhaa wanapanga kumutimuwa madarakani mwa kiongozi wa bunge hilo
Spika wa bunge la taïfa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Vital Kamerhe, aliongoza kikao cha kwanza cha mwezi wa kenda baada ya likizo ya miezi mitatu mfululizo, siku ya…

